Gwiji wa Chelsea, Chris Sutton amechagua chaguo lake la winga bora wa kulia duniani kwa wakati huu.

Kulingana na Sutton, fowadi wa Arsenal Bukoyo Saka ndiye mchezaji bora zaidi ya wachezaji wote wanaocheza katika nafasi bora zaidi hivi sasa.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 ameibuka kuwa mmoja wa mawinga hatari zaidi katika ligi kuu ya Uingereza, akifunga mabao 12 na asisti 10 katika mechi 28 za Premier League na kuisaidia Arsenal kupanda kileleni mwa jedwali.

Kinda huyo pia amekuwa bora kwa kikosi cha Gareth Southgates cha England, akifunga bao zuri na kusaidia Three Lions kuishinda Ukraine 2-0 katika mechi ya kufuzu Euro 2024 Jumapili.

“Jaribu kutaja winga bora wa kulia duniani msimu huu kuliko Bukayo Saka na nadhani utapambana,” aliambia Daily Mail.

“Saka anashinda vita vya kulia. Mohamed Salah amekuwa si sawa

Leave A Reply


Exit mobile version