Bila shaka macho na masikio ya mashabiki wa Soka Tanzania hii leo ni kutazama kipi kitatokea katika mechi za klabu bingwa barani Afrika hatua ya makundi ambapo timu za Tanzania zinashiriki.

Wananchi Yanga wao watakua nyumbani katika dimba la Mkapa majira ya saa 1 za usiku kuwakabili Al Ahly kutoka Misri wakipata nguvu zaidi kutoka katika matokeo ya Medeama ya Ghana waliomfunga CR BELOUIZDAD.

Wekundu wa msimbazi wao watakua kibaruani nchini Botswana wakiikabili Jwaneng galaxy majira ya saa 10 za jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Leave A Reply


Exit mobile version