Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria na klabu ya Napoli Victor Osimhen ameibuka kuwa mchezaji bora wa bara la Afrika mwaka 2023. Osimhen ameshinda nafasi hiyo katika hafla ya tuzo za za soka bara la Afrika zilizofanyika nchini Morocco katika jiji la Marakesh.

Katika kinyang’anyiro hiki Osimhen amewabwaga Achraf Hakimi kutoka nchini Morocco na klabu ya PSG pamoja na Mohamed Salah wa Misri pamoja na Liverpool.

Hii ni orodha ya wachezaji waliowahi kutwaa tuzo hiyo tangu ilipoanzishwa mwaka 1992:

1992 Abedi Ayew Pelle (Ghana)

1993 Rashidi Yekini (Nigeria)

1994 Emanuel Amunike (Nigeria)

1995 George Weah (Liberia)

1996 Nwakwo Kanu (Nigeria)

1997 Victor Ikpeba (Nigeria)

1998 Mustapha Hadji (Morocco)

1999 Nwankwo Kanu (Nigeria)

2000 Patrick Mboma (Cameroon)

2001 El-Hadji Diouf (Senegal)

2002 El-Hadji Diouf (Senegal)

2003 Samuel Eto’oo (Cameroon)

2004 Samuel Eto’oo (Cameroon)

2005 Samuel Eto’oo (Cameroon)

2006 Didier Drogba (Ivory Coast)

2007 Frederick Kanoute (Mali)

2008 Emanuel Adebayor (Togo)

2009 Dider Drogba (Ivory Coast)

2010 Samuel Eto’oo (Cameroon)

2011 Yaya Toure (Ivory Coast)

2012 Yaya Toure (Ivory Coast)

2013 Yaya Toure (Ivory Coast)

2014 Yaya Toure (Ivory Coast)

2015 ; Piere-Emerick Aubameyang ( Gabon)

2016:Riyad Mahrez (Algeria)

2017: Mohamed Salah ( Misri)

2018: Mohamed Salah( Misri)

2019; Sadio Mane (Senegal)

2022:Sadio Mane( Senegal)

2023: Victor Osimhen ( Nigeria)

Unaweza kusoma washindi wengine wa tuzo za CAF Mwaka 2023 kwa kugusa hapa.

Leave A Reply


Exit mobile version