Baada ya hatua ya makundi na ile ya 16 bora kombe la mataifa barani Afrika kukamilika ni wazi sasa macho na masikio ya wengi ni kutazama namna gani watasuka mikeka na kubeti katika mechi zilizobakia za AFCON kuanzia robo fainali, nusu fainali mpaka hatua ya fainali ambayo ndio itakayotoa bingwa wa michuano hii kwa mwaka huu.

Kama hufahamu tu mechi zenyewe za AFCON ni kama ifuatavyo:

  • Nigeria vs Angola
  • DRC vs Guinea
  • Mali vs Ivory Coast
  • Cape Verde vs South Africa

Tukianza kwa kuzitazama mechi zenyewe tunaona namna ambavyo mpira wa Afrika ulivyokua na matokeo yakikatili na namna ambavyo wale wasiotegemewa kufanya maajabu na kuendelea kuishangaza Afrika.

Unajua unatakiwa kubeti vipi ili uwe na uhakika wa kushinda mikeka yako?

Watu wamezoea kutumia masoko yaleyale kila siku ambayo ni Ushindi wa moja kwa moja au magoli zaidi ya 1 (Over 1.5). Ila unatakiwa kufahamu kuwa kuna masoko mengi mazuri ambayo unaweza kuyatumia na kushinda mkeka wako katika mechi hizi ambayo ni:

  1. Kubeti Nani Anafuzu (To Qualify)

Katika mchezo huu lazima mmoja anatakiwa kufuzu na soko hili ni zuri kwani utaepukana na zile changamoto za mechi kwenda dakika 120 hadi penati kwani bado mkeka wako utakua Active kusubiria tun ani atafuzu.

  1. Kubeti Timu Isifungwe Goli (Home Team or Away Team Clean Sheet)

Kwanza itabidi uangalie nani anarekodi ya kuruhusu sana magoli katika michuano hii toka imeanza kwa timu ambazo zimefika hatua ya robo fainali itakusaidia sana kubashiri na option hii. Hii maamuzi ni yako kwani unaweza kuweka wa nyumbani asiruhusu goli au wa ugenini asiruhusu goli ni suala la kuchagua tu.

  1. Kubetia Kona (Corners)

Unajua hii ni option ambayo huwa na uwanda mpana sana katika ubashiri kwani kona ina vipengele vingi sana kama kuchagua nani wa kwanza kupiga kona kati ya timu ya nyumbani au ugenini lakini pia nani wa mwisho kupiga kona, pia utaangalia ujumla wa kona kwa kipindi cha kwanza au za kipindi cha pili kwahiyo ni wewe tu kuchagua.

Kumbuka kubashiri kwa kiasi na kuweka mkeka ambao hata ukipoteza basi unaweza kurejesha kile kiasi ambacho umekipoteza na kumbuka kubashiri ukiwa na miaka 18 kupanda juu.

SOMA ZAIDI: Ligi za kuziepuka wakati wa betting.

 

3 Comments

  1. Pingback: Nigeria vs Angola Tunasuka Hivi Mkeka - Kijiweni

  2. Pingback: Mkeka Wa Leo Ijumaa Wa Kuianza Wikiendi - Kijiweni

  3. Pingback: Mkeka wa Leo Jumamosi 03/02/2024 Odds 100 - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version