Mambo vipi wana Kijiweni? Nimefurahi sana kuwa na nyie kuanzia sehemu ya kwanza mpaka sehemu ya 15 ya Riwaya ya KOTI JEUSI na najua kuwa wengi wameifurahia na kuipenda pia. Wakati tunasubiria kwa hamu riwaya mpya itakayoanza hivi karibuni leo tuijadili KOTI JEUSI

Jambo gani ambalo umelifurahia kwenye riwaya hii lakini pia somo gani kama mwana KIJIWENI umelipata?

La mwisho la kuongezea unatamani Riwaya inayokuja iwe katika muundo gani na iwe inatoka kwa muda gani? ( yaani muda gani unaona ni mzuri ikitumwa hapa Kijiweni uisome?)

 

FURSA: Wewe Ni Mwandishi? Unapenda kuendeleza Taaluma yako ya uchambuzi kwenye masuala ya michezo? Mtandao wa uchambuzi wa michezo kijiweni.co.tz unakupa uwanja wa kuendeleza kipaji chako na kufikia maelfu ya wapenzi wa michezo Tanzania na nje ya Tanzania.

Tutumie makala au uchambuzi wa michezo katika barua pepe hii editor@kijiweni.co.tz  

Kama Hukusoma KOTI JEUSI Sehemu ya Kwanza Mpaka Ya Kumi Na Tano Hizi Hapa Chini 

KOTI JEUSI (Sehemu Ya Kwanza) KOTI JEUSI – 01

KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Pili) KOTI JEUSI – 02

KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Tatu) KOTI JEUSI – 03 

KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Nne) KOTI JEUSI – 04 

KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Tano) KOTI JEUSI -05

KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Sita) KOTI JEUSI -06 

KOTI JEUSI (Sehemu Ya Saba) KOTI JEUSI – 07

KOTI JEUSI (Sehemu Ya Nane) KOTI JEUSI -08 

KOTI JEUSI (Sehemu Ya Tisa) KOTI JEUSI -09 

KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Kumi) KOTI JEUSI -10 

KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Kumi Na Moja) KOTI JEUSI -11

KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Kumi Na Mbili) KOTI JEUSI -12

KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Kumi Na Tatu) KOTI JEUSI -13

KOTI JEUSI ( Sehemu Ya Kumi Na Nne) KOTI JEUSI -14

KOTI JEUSI (Sehemu Ya Kumi Na Tano) KOTI JEUSI – 15

 

17 Comments

    • Nadhani hii inachukua muda sana mpaka tunasahau kama inawezekana iwekwe kila siku asubuhi moja na saa tatu usiku moja ili iishe tuanze nyingine lakini pia msomaji anapata mwendelezo mzuri. Binafsi nimeipenda sana ila inakatisha tamaa kwa kukosa muda maalumu weka asubuhi na jioni itakuwa poa sana kama itawapendeza

  1. Koti jeusi ni story kali sana.. nadhani ingewekw kwa mfumo w video (movies) ingeenda powa san ukizingatia ubora wa upangaji wa script na wahusika wanao weza kuvaa uhalisia wa picha husika na mazingira pia, itakua revolution kubwa sana kwa bongo movies..

  2. Djkelly255..
    Niungane na wewe kuanzia miguu mpaka nywele
    Natamani ingekaa mfumo wa video ingekuwa unyama sana maana dah

    But yote kwa yote mwandishi unajua kuyapangilia matukio yaani hata kipofu angeisoma na kuielewa2 hahahahaaaaa!!!
    Jokes

  3. Niongezee kakitu kidogo

    Hivi Adela naweza pata namba ake kaka admin??
    Maana bila shaka ataweza kunitoa huku niliko hhhhhs;;;;””!!!

  4. Story ya kotu jeusi imekuwa ya kuvutia sana kiasi kwamba hata kama ulkuwa bored bhas inakupa furaha na cku inakuwa bora kabsa naomba utupatie nyingne

Leave A Reply


Exit mobile version