Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeahirisha michezo saba ya Ligi Kuu ya NBC ili kupisha mchezo kati ya timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) na timu ya Taifa ya Tanzania (Kilimanjaro Stars) utakaofanyika Disemba 27, 2023 pamoja na maandalizi ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuelekea fainali za kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) huko Ivory Coast kuanzia Januari 13,2024.

Michezo hiyo imeainishwa na bodi ya Ligi Kuu katika barua yale hii hapa chini

Barua ya Bodi Ya Ligi Kuu Tanzania Bara imeahirisha michezo saba ya Ligi Kuu ya NBC ili kupisha mchezo kati ya timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) na timu ya Taifa ya Tanzania (Kilimanjaro Stars) utakaofanyika Disemba 27, 2023 pamoja na maandalizi ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuelekea fainali za kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) huko Ivory Coast kuanzia Januari 13,2024.                                                                                                                                                                                                                        Endelea kusoma taarifa kuhusu ligi kuu Tanzania Bara kwa kusoma hapa.

1 Comment

  1. Pingback: Serikali Yaufungia Uwanja Wa MKAPA - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version