Wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Tottenham Hotspur wanawakaribisha mabingwa watetezi wa kombe hili klabu ya Man City moja kati ya mechi kubwa zaidi inayotarajiwa kutazamwa kwani inazikutanisha miongoni mwa timu kubwa kutoka katika ligi kuu ya Uingereza.

Hii ni mara ya 15 kwa Tott na Man City kukutana katika michuano hii ya FA na cha kushangaza zaidi ni kwamba Man City wamepoteza takribani michezo 5 ya michuano hii wanapokua wanakutana na Tott katika uwanja wao wa nyumbani na sio tu kupoteza bali wamekua wakishindwa kupata hata goli huku katika mechi hizo 5 akipiga mashuti 84 na mashuti 22 pekee yakilenga lango bila kugusa nyavu za Tott.

Tottenham anaingia katika michuano hii akiwa na rekodi ya kushinda michezo yake 12 kati ya 13 huku akisare mmoja na hii ni tangu alivyopoteza mchezo dhidi ya Crystal kwa bao 1:0 mwaka 2016 katika uwanja wa White Hart Lane na hii ni mara ya kwanza wanakutana na mabingwa watetezi wa michuano hii toka mwaka 1952 walipopoteza kwa mabao 3:0 kutoka kwa bingwa mtetezi ambaye alikua ni Newcastle.

Nadhani baada ya kusoma highlights hizo ni wakati sasa wa kutazama katika mchezo huu tunabetije? Yaani tunasukaje mkeka haswa katika mechi hii kubwa kabisa?

Kwanza kabisa tunaweza kuangalia masoko mengine ya ubashiri na sio kutazama kuhusu nani ataibuka kuwa mshindi wa mchezo huu kwani kuna wakati mpira huwa na matokeo ambayo huwezi kuyatarajia.

Kubashiri kuhusu kadi ni moja kati ya njia nzuri ya kujilinda na kupoteza ubashiri katika mchezo huu kwani hapa unaweza kuamua kuchagua zipatikane kadi ngapi katika mchezo huu na mimi nakushauri ubashiri kupatikana kwa kadi zaidi ya 3 katika mechi yote yaani Total Booking Over 2.5.

Kwa wale ambao wanaelewa zaidi kuhusu kona wanaweza kubashiri kuwa mchezo husika uwe na kona au kwa kuchagua timu moja pekee iwe na kona ambapo unaweza bashiri Total Corners Man City Over 4.5 yaani Man City wapige kona zaidi ya 5 katika mchezo huu.

KDB amerejea akiwa na moto kwelikweli lakini kumbuka kuwa Phil Foden ndio mchezaji kutoka Man City ambaye amehusika katika magoli mengi ya timu hiyo kwani amefunga mabao 16 katika mechi 14 alizoanza katika michuano ya FA  hivyo unaweza kubashiri Soko la Player Specials kuwa Phil Foden apige mashuti zaidi ya matatu golini yaani Foden Total Shots Target Over 2.5.

SOMA ZAIDI: Huu Hapa Mkeka Wa Leo Ijumaa

Leave A Reply


Exit mobile version