Hii leo katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza Tottenham Hotspur atakua na kibarua dhidi ya Bournemouth mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Tottenham. Mchezo huu unawakutanisha Tottenham wakiwa  katika nafasi ya 5 na alama 36 kwenye mechi 19 walizocheza mpaka sasa huku Bournemouth wao wakijikusanyia alama 25 kwenye mechi 18 walizocheza mpaka sasa.

Licha ya ubora ambao Bournermouth ameanza kuuonesha katika ligi kwenye mechi 5 zilizopita lakini Totenham yeye katika ubashiri amepewa asilimia 54% za kushinda mechi hii na endapo itatokea sare basi ni 25% na Bournermouth yeye akipewa asilimia 25% za ushindi wa mechi hii.

Katika mechi 5 zilizopita Tottenham ameshinda mechi 3 kwa zaidi ya goli 2 na kupoteza mechi 2 na zote alipata walau goli 1 huku Bournermouth yeye mechi 5 za mwisho kashinda mechi 4 kwa zaidi ya goli 1 na kusare mechi 1 ambayo nayo angalau alipata goli 1.

Mechi inayowakutanisha Tottenham dhidi ya Bournermouth huwa na idadi kubwa ya magoli yanayopatikana yale ya kufungana kuanzia magoli 2 kwenda juu.

VIDOKEZO VYA UBASHIRI

Kutokana na muendelezo walionao hivi sasa Bournermouth ni heri ukajihadhari mapema kwa wale ambao wataamua kuweka ubashiri kwenye magoli tu kwa kuweka magoli yapatikane zaidi ya mawili yaani Over 1.5.

Lakini pia kwa namna inavyoonesha huwa wanafungana na kunakua na idadi kubwa tu ya magoli hivyo unaweza kuweka wafungane na magoli zaidi ya mawili yaani GG and Over 1.5.

Kwa wale ambao wanaamini muendelezo bora wa Bournermouth wanaweza kumpa straight win lakini wanaoamini kiwango cha Tott wanaweza mpa ushindi wa moja kwa moja pia.

Kwa wale ambao mechi wanaona bora yoyote ashinde basi wanaweza Kwenda na option ya Home or Away yaani 12.

Endelea kufuatilia zaidi kuhusu dondoo za mikeka kwa kusoma hapa.

Leave A Reply


Exit mobile version