Moja kati ya siku ambayo bila shaka ilikua inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka Tanzania ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba ambapo nikiri tu kuwa ni miongoni mwa mechi za kusisimua sana katika soka la Tanzania.

Mechi inayowakutanisha wawili hawa mara nyingi huvutia mashabiki wengi na huwa na msisimko mkubwa kote nchini lakini pia hutazamwa kama miongoni mwa mechi bora za dabi katika bara la Afrika.

Kwa ujumla, mchezo wa Yanga dhidi ya Simba ni zaidi ya mechi ya kawaida ya soka. Ni tamasha la michezo ambalo huunganisha jamii ya Kitanzania na kuleta hamasa kubwa katika ulimwengu wa soka.

TABIRI Matokeo ya mwisho hapa kwa kutuandikia mchezo utakuaje au matokeo yatakuaje? Anza na timu unayoshabikia kisha maliza na matokeo

Mfano: (YANGA: Full Time Yanga 0 Simba 0) au (SIMBA: Full Time Yanga 0 Simba 0)

SOMA ZAIDI: Barua Kwako Mwamuzi Arajiga Kuelekea Yanga vs Simba

38 Comments

    • RASHIDI SWAIBU ABBUBAKARI on

      Mchezo wa Leo ni mgumu sana si Kwa Simba wala Yanga.ikiwa na maana ya kwamba Simba anaingia uwanjani akiwa ma hasra za kufungwa Derby ya mwisho na pia yanga nae anaingia uwanjani na hasra yakutaka kujiheshimisha lakini timu yenye kutaka ushindi iwe imejiandaa na ijue kwamba naenda kukutana na mpinzani mwenye uwezo lolote linaweza kutokea ila kwangu Mimi naona mchezo wa Leo unaweza kuwa Draw Kwa pande zote maana Kila timu imejipanga vyakutosha ikitokea tofauti basi Mbinu uwanjani ndio utakuwa ushindi

      All the best Simba SC🤝 All the best Yanga Africans 🥺

    • Hii game yanga asiposhinda bas itakua draw yenye ushindani sana maana yanga anahitaji kutetea nafasi ya kwanza na kuhakikisha anaongeza point za kumzidi mpinzani

  1. Severin Pascal on

    Mechi ya leo ni rahisi kwa upande wa Yanga endapo wachezaji wao tegemezi watacheza,
    Yao
    Aucho
    Pacome
    Azizi Ki
    Tofauti na hapo mechi itakuwa ngumu na itapelekea Simba Sc kushinda

  2. Fulltime
    Yanga Vs Simba
    0-0
    Game itakuwa na tension kuwa wachezaji wataogopa kufanya makosa so watacheza kwa nidhamu kubwa huku wakikumbuka game iliyopita

  3. 𝗧𝗮𝗷𝗶𝗿𝗶 𝗔𝗯𝗮𝘀 on

    𝗠𝗮𝘁𝗼𝗸𝗲𝗼 𝘆𝗮 𝗹𝗲𝗼 𝗻𝗶 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗶𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘃𝘆𝗼 𝘆𝗮𝗻𝗴𝗮 𝗮𝗻𝗮𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝗮 𝗴𝗼𝗹𝗶 𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶 𝗸𝗮𝘃𝘂. 𝗸𝗶 𝗮𝘇𝗶𝘇𝗶
    𝗺𝘇𝗶𝘇𝗲
    𝗳𝘂𝗹𝗹 𝘁𝗶𝗺𝗲 2:0

    𝗯𝘆 T̶A̶J̶I̶R̶I̶ 𝗔𝗕𝗔𝗦

  4. Mechi itakuwa ngumu lakini Nina uwakika na kikosi changu cha young Africans naamini tutashinda Insha’Allah 5 bila

  5. Hakuna cha derby haina mwenyew wala nn…simba leo atakufa tu,nawashaur viongoz wa simba waangalie mpira vibanda umiza 😂

  6. Allen Kishenyi on

    Yaani Kwa kelele walizonazo yanga, Simba anashinda Moja bila hii mechi. Overconfidence Kwa yanga imezidi sanaaaa. Itawaponza Niko paleeee✍️

  7. Pingback: Yanga Dhidi Ya Simba Tutegemee Mchezo Wa Aina Gani? - Kijiweni

  8. Kwa upande wangu naona yanga ana nafasi kubwa ya kushinda kwa kua ukiangalia hata katika mashindano ya CAF dhidi ya mamelod yanga alionyesha uwezo kubwa sana ukilinganisha na simba.lakini pia kataka msimamo wa ligi kuu yanga ameonyesha ubora wake zaidi na ana wachezaji wenye uwezo wa kuichezesha timu kama mudathiri,nzengeli na pacome zouzoua

  9. Pingback: Hapa Ndipo Ambapo Walikosea Simba Na Kufungwa - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version