Ukiachilia mbali fainali ya michuano ya mataifa barani Afrika ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka barani Afrika ili kuona nani atakua bingwa lakini kumbuka kuwa kuna mchezo wa kutafuta mshindi wa 3 kati ya Afrika Kusini dhidi ya DR Congo.

Mara ya mwisho kukutana timu hizi ilikuwa ni mwaka 2023 kwenye mechi ya kirafiki ambapo South Africa yaani Bafana Bafana alishinda kwa bao 1-0. Je Jumamosi ni siku ya DR Congo kulipa kisasi?

TAKWIMU:

Timu zote mbili zinaingia katika mchezo huu baada ya kufungwa hatua ya nusu fainali ambapo Afrika Kusini wao waliondoshwa kwa penati na Nigeria huku DR Congo wao wakitolewa na wenyeji Ivory Coast.

  • Katika mechi za mwisho za DR Congo hawajapata magoli zaidi ya 3
  • Mechi 3 kati ya 4 ambazo South Africa wamekutana na DR Congo kulikua na magoli chini ya 3.
  • South Africa ameshinda katika mechi 3 kati ya za mwisho ambazo amekutana na DR Congo.
  • South Africa hawajaruhusu bao katika mechi 4 pekee za michuano ya AFCON mwaka huu.

TUNABETIJE?

Kwa wote ambao waliziona mechi zao katika michuano ya AFCON msimu huu ni wazi kuwa kuna takwimu nyingi wanazijua lakini wanawaza wanawekaje mkeka? Hapa tutazame mbinu za kubashiri katika mchezo wa hii leo.

  1. Nani ana asilimia kubwa za kushinda mchezo huu?

South Africa: 29.5%

Sare: 30.3%

DR Congo: 42.1%

Kama ambavyo unaona basi DR Congo wanapewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu na kuwa washindi wa 3 japokua ni moja kati ya mechi ngumu kwelikweli ya michuano hii ya mataifa barani Afrika ya kutafuta mshindi wa 3.

  1. Vipi kuhusu kufungana kwenye mchezo huu?

Unaweza pia kubashiri kufungana katika mchezo huu ambapo kuna asilimia 51.3%  au kusiwe na kufungana ambapo ni 52.6% kutokea katika mchezo huu.

Mategemeo Kikosi South Africa:  Williams (GK), Xulu, Sibisi, Mvala, Mudau, Zwane, Modiba, Sithole, Mokoena, Tau & Makgopa

Mategemeo Kikosi DR Congo: Mpasi (GK), Mbemba, Masuaku, Kalulu, Inonga, Kakuta, Wissa, Moutoussamy, Pickel, Bakambu & Elia

SOMA ZAIDI: Ligi Bora Za Kubetia Magoli Zaidi Ya 4 Katika Mechi Moja

Leave A Reply


Exit mobile version