Hii ni orodha ya mwisho ya wachezaji 27 watakaovaa uzi wa Tanzania (Stars) kwenye mashindano ya AFCON imetoka huku baadhi ya wachezaji ambao walikuwemo kwenye orodha ya awali wakiwa wamekatwa. Katika orodha hii mpya ya mwisho wachezaji waliokatwa ni :

1.Abdul Sopu
2.Metacha Mnata
3.Khelfin Hamdoon
4.Twariq Abdillahi

Majina ya wanaoenda Ivory Coast kuiwakilisha Taifa Stars ni:
1. Kwesi Kawawa
2. Beno Kakolanya
3. Aish Manula
4. Haji Mnoga
5. Mudathir Yahya
6. Ibrahim Hamad
7. Dickson Job
8. Feisal Salum
9. Himid Mao
10. Morice Abraham
11. Cyprian Kachwele
12. Mbwana Samatta
13. Tarryn Allarakhia
14. Saimon Msuva
15. Bakari Nondo
16. Mohamed Hussein
17. Lusajo Mwaikenda
18. Sospeter Bajana
19. Mzamiru Yassin
20. Novatus Dismas
21. Charles M’mombwa
22. Kibu Denis
23. Ben Starkie
24. Abdi Banda
25. Abdulmalik Zakaria
26. Miano Danilo
27. Mohamed Sagaf

Orodha ya mwisho ya wachezaji 27 watakaovaa uzi wa Tanzania kwenye mashindano ya AFCON

Endelea kufuatilia zaidi kuhusu taarifa za AFCON kwa ujumla kwa kugusa hapa.

Leave A Reply


Exit mobile version