Baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya 16 bora katika michuano ya mataifa barani Afrika (AFCON) kwa kushinda michezo yao yote mitatu ya hatua ya makundi hii leo timu ya taifa ya Senegal wana kibarua kizito cha kupambania kutinga hatua ya robo fainali kwani wanakutana na wenyeji wa michuano hii timu ya taifa ya Ivory Coast.

Ukiutazama mchezo huu kwa muendelezo tu wa matokeo moja kwa moja unaweza kufikiria kumpa ushindi Senegal kutokana na kiwango cha timu yao ya taifa kilivyo lakini ukifikiria kuhusu maajabu ambayo yamekua yakijitokeza katika michuano hii basi unafikiria zaidi kuhusu masoko mengine ya ubashiri.

TAKWIMU

Tukianza kwa kuangalia takwimu zao ni kwamba wenyeji wa mchezo huu kikanuni ni Senegal ambao ndio mabingwa watetezi katika michuano hii. Katika michuano yam waka huu wameshind takribani wastani wa magoli mawili na zaidi katika kila mechi ambapo wamemfunga Gambia bao 3:0, Cameroon bao 3:1 na Guinea bao 2:0.

Ivory Coast wao katika hatua ya makundi wameshinda mchezo mmoja pekee ambao ni dhidi ya Guinea Bissau kwa bao 2:0, wakifungwa na Nigeria bao 1:0 na wakifungwa na EQ Guinea bao 4:0.

Ikumbukwe kuwa Senegal ni mabingwa watetezi ambao katika fainali 2 zilizopita wameingia zote fainali wakishinda 1 na kufungwa moja katika fainali hizo.

TUNASUKAJE MKEKA?

Ukikitazama kikosi cha vijana wa kocha Aliou Cisse ni wazi wanataka kuumaliza mchezo huu mapema kwani ni moja kati ya timu iliyokua na rekodi kubwa na nzuri wakiruhusu bao moja pekee katika hatua ya makundi lakini pia wkifunga zaidi ya mabao 6 katika upande wa magoli ni wazi lazima Senegal hii leo atapata zaidi ya bao moja katika mchezo huu yaani Senegal Goals Over 1.5.

Ivory Coast katika mchezo huu wanaingia baada ya kupita kimazabezabe kama Best Looser ambapo katika hatua ya makundi wameruhusu idadi ya magoli Matano. Katika mchezo wa leo kuna uwezekano wa kutoweza kufunga bao katika vipindi vyote viwili labda itokee katika kipindi kimoja (Ivory Coast to score in both halves NO).

Sadio Mane ni mchezaji hatari ambaye katika mchezo wa leo tutegmee kutoka kwake Assist au kupata goli yaani (Sadio Mane to score or Assist YES)

SOMA ZAIDI: Nini maana ya Player Specials Katika Betting?

Leave A Reply


Exit mobile version