Baada ya kumaliza mwaka 2013 wakiwa kileleni kabisa mwa msimamo wa La Liga , Real Madrid wanarejea tena dimbani kuvaana na Mallorca mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Santiago Bernabeu wenye uwezo wa kuingiza mashabiki zaidi ya elfu themanini.

Madrid anaongoza ligi akiwa na alama 45 katika mechi 18 alizocheza katika La Liga msimu huu huku katika michezo yake mitano ya mwisho kucheza ameshinda mechi 4 na kupata sare mchezo mmoja huku Mallorca wao wakishinda mechi 3 na kusare mechi 2 katika msimamo wa la liga wakiwa nafasi ya 14 na alama 18 katika michezo 18 waliyocheza.

Katika mchezo huu Madrid itawakosa wachezaji kama golikipa Thibaus Courtouis Pamoja na Eder Militao bila kusahau David Alaba japokua bado wana nafasi kubwa mbele ya Mallorca.

Mchezo unaowakutanisha hawa huwa na idadi kubwa ya magoli kuanzia magoli 2 kupanda juu n ani mara chache sana kufungana.

VIDOKEZO VYA UBASHIRI

Kutokana na kiwango bora kinachoendelea kuoneshwa na kikosi cha Madrid ni lazima watashinda mechi hii ( Real Madrid Win)

Kwa wale wanaopenda kubashiri kuhusu magoli wanaweza kuweka Madrid ashinde na zaidi ya magoli 2 (( Real Madrid Win and Over 1.5)

Unaweza kuwapa Malorca wasipate idadi ya magoli 3 katika mchezo huu ( Mallorca Goals Under 2.5 )

Endelea kusoma vidokezo zaidi vya ubashiri katika mechi mbalimbali kwa kugusa hapa.

1 Comment

  1. Pingback: Girona vs Atletico Madrid : Utabiri Na Vidokezo Vya Mkeka - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version