Baada ya kuahirishwa kwa michuano ya CHAN na Shirikisho la soka Afrika (CAF) ni wazi kuwa Ligi Kuu ya NBC inarejea rasmi mwezi wa pili mwaka huu . Hii ni ratiba kamili ya ligi kuu ya NBC baada ya kubadilishwa kwa tareheh za mechi husika mpaka pale ambapo ligi itamalizika
JIUNGE Na Kijiweni WhatsApp Channel Kwa Kubonyeza Hapa
SOMA HADITHI MBALIMBALI za KUSISIMUA Kwa Kubonyeza Hapa
10 Comments
Mmh ubinhwa wetu wananchi
Simba Bingwa
Ubingwa tayari Wana Simba
🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁 Tumeshachukua Wana Simba
Labda wa muungano😂😂😂
Ubaya ubwela going on
Simba bingwa mapema tu
Ubingwa mpaka YANGA acheze ndo mnajihakikishia ubingwa vinginevyo muwe wapole..
Ushindi ni wetu wanasimba
Ramadhani shabani ally
Ubingwa wa yanga tuu