Ule mwezi wa soka la mabingwa barani Uaya ndio huu wengine wakiuita ni mwezi wa wapendanao ambao vilabu mbalimbali barani Ulaya ambavyo vilifuzu hatua ya makundi vinakutana kupambania nafasi ya kwenda hatua zinazofuata zaidi. Tumekuandalia ratiba kamili ya michuano hii kuanzia tar 13/02/2024 mpaka hatua ya fainali ifuatilie hapa:

13.02. 23:00

  • FC Copenhagen vs Manchester City
  • RB Leipzig vs Real Madrid

 

14.02. 23:00

  • Lazio vs Bayern Munich
  • PSG vs Real Sociedad

 

20.02. 23:00

  • Inter vs Atl. Madrid
  • PSV vs Dortmund

 

21.02. 23:00

  • FC Porto vs Arsenal
  • Napoli vs Barcelona

05.03. 23:00

  • Bayern Munich vs Lazio
  • Real Sociedad vs PSG

06.03. 23:00

  • Manchester City vs FC Copenhagen
  • Real Madrid vs RB Leipzig

12.03. 23:00

  • Arsenal vs FC Porto
  • Barcelona vs Napoli

13.03. 23:00

  • Atl. Madrid vs Inter.
  • Dortmund vs PSV

Baada ya mechi hizo zote kuchezwa ni wazi kuwa hatua ya Robo fainali itchezwa tarehe 09.04. 22:00 / 10.04. 22:00 / 16.04. 22:00 / 17.04. 22:00 huku hatua ya nusu fainali ikipigwa kuanzia tarehe 30.04. 22:00 / 01.05. 22:00 / 07.05. 22:00 / 08.05. 22:00 na ile mechi ya fainali itapigwa tarehe 01.06. 22:00. Kumbuka kuwa kwa wawekezaji nao ni muda wa kuandaa mikea yao kuhusu michuano hii mikubwa ngazi ya viabu barani Ulaya.

SOMA ZAIDI: Ujumbe Mzito Wa Jurgen Klopp Kwa Mashabiki Wa Liverpool

Leave A Reply


Exit mobile version