Hii ni ratiba kamili ya mechi za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa Tanzania Bara wawakilishi wake ni Azam Fc na Yanga huku Tanzania Visiwani wawakilishi wake ni Uhamiaji kwa upande wa mechi za shirikisho pamoja na JKU kwa upande wa ligi ya mabingwa Afrika.
- M1 & 2: El Merreikh (South Sudan) vs. Gor Mahia (Kenya)
- M3 & 4: Arta Solar (Djibouti) vs. Dekadaha (Somalia)
- M5 & 6: SC Villa Jogoo (Uganda) vs. Commercial Bank (Ethiopia)
- M7 & 8: Vital’O FC (Burundi) vs. Young Africans (Tanzania)
- M9 & 10: Azam FC (Tanzania) vs. APR FC (Rwanda)
- M11 & 12: JKU SC (Tanzania) vs. Pyramids (Egypt)
- M13 & 14: M. Swallows (Eswatini) vs. Fer Da Beira (Mozambique)
- M15 & 16: Ngezi Platinum (Zimbabwe) vs. AS Maniema (DR Congo)
- M17 & 18: Nyasa Big Bullets (Malawi) vs. Red Arrows FC (Zambia)
- M19 & 20: African Stars (Namibia) vs. Jwaneng Galaxy (Botswana)
- M21 & 22: Disciples FC (Madagascar) vs. Orlando Pirates (South Africa)
- M23 & 24: US Zilimadjou (Comoros) vs. Rangers FC (Nigeria)
- M25 & 26: St Louis (Seychelles) vs. GDSE (Angola)
- M27 & 28: AS Douanes (Burkina Faso) vs. Coton Bénin (Benin)
- M29 & 30: AS Leopards (Congo) vs. CR Belouizdad (Algeria)
- M31 & 32: Victoria UTD (Cameroon) vs. FC Samartex (Ghana)
- M33 & 34: ASGNN (Niger) vs. Raja Casablanca (Morocco)
- M35 & 36: AS PSI (Chad) vs. US Monastir (Tunisia)
- M37 & 38: Watanga FC (Liberia) vs. MC Alger (Algeria)
- M39 & 40: Red Star (Central African Republic) vs. Djoliba de Bamako (Mali)
- M41 & 42: CD Mongomo (Equatorial Guinea) vs. Asko de Kara (Togo)
- M43 & 44: Stade d’Abidjan (Côte d’Ivoire) vs. Teungueth FC (Senegal)
- M45 & 46: Milo FC (Guinea) vs. FC Nouadhibou (Mauritania)
- M47 & 48: Bo Rangers (Sierra Leone) vs. San Pedro (Côte d’Ivoire)
- M49 & 50: Libyan Club 2 vs. Al Hilal (Sudan)
- M51 & 52: Libyan Club 1 vs. El Merreikh (Sudan)
- M53 & 54: Remo Stars (Nigeria) vs. AS Far (Morocco)
5 Comments
Team zote ziungane zicheze na yanga 😎
Hahahhaa kijana wa maaana kabsa upewe ulinzi😃
Hakika zifanye mazoezi tyu zije zikutane na sisi wanainchi maana sioni timu nyingne
iko PW kabisa hiyo latiba so kila timu iwe makinibsana ******
Chama langu Yanga ila naziombea timu zote makubwa wafanye vzr
Wote