Baada ya hatua ya makundi kukamilika ni wazi sasa ile hatua ya 16 bora katika michuano ya mataifa barani Afrika  (AFCON) inatarajiwa kuanza na yapo maswali kadhaa kutoka kwa wadau kuhusu nani anakutana na nani na tarehe ngapi lakini hapa tumekuwekea ratiba kamili ya michuano hii na tarehe ambazo watakutana.

Jan 27
Angola vs Namibia
Nigeria  vs Cameroon

Jan 28
Equatorial Guinea vs Guinea
Egypt  vs DR Congo

Jan 29
Cape Verde  vs Mauritania
Senegal  vs Côte d’Ivoire

Jan 30
Morocco  vs South Africa
Mali  vs Burkina Faso

Baada ya kurudi kama Best Looser Mwenyeji anapata nafasi ya kurekebisha makosa yake ambapo anakutana na Senegal. Mechi gani hapo imekuvutia zaidi katika hatua hii ya 16 bora kwenye AFCON?  Lakini pia moja kati ya mechi ya kutazamwa pia ni ya Nigeria dhidi ya Cameroon lakini pia balaa waliloanza nalo katika hatua ya makundi nchi ya Cape Verde wataendelea nalo mbele ya Mauritania ambao ndio mara yao ya kwanza kufika hatua hii?

 

SOMA ZAIDI: Taifa Stars Ilikosa Kujiamini Hakukua Na Mipango Sahihi

3 Comments

  1. Pingback: Yanga Walikua Sahihi Kumpiga Kitanzi Ibrahim Bacca - Kijiweni

  2. Pingback: Ukiitaja AFCON Usisahau Kuhusu Ligi Kuu Ya NBC - Kijiweni

  3. Pingback: Mchezaji Huyu Yanga Kutinga Robo Fainali AFCON - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version