Tunainza wiki na mkeka wa leo wenye timu 11 kutoka ligi kubwa mbalimbali duniani na timu zinazofahamika ikiwemo ligi kuu ya Tanzania. Kumbuka kuupitia mkeka huu na kupunguza au kuongeza vile ambavyo unaona wewe inafaa ili uweze kushinda na kuwa na wikiendi yako nzuri kabisa na pesa ya kula bata.

 

Geita Gold – Simba

Simba Win

 

Millwall U21 – Colchester U21

Millwall U21 Win

 

UTA Arad – FC Botosani

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Kayserispor – Besiktas

DC & BTS: (X2 & YES)

 

Santa Clara – Feirense

Santa Clara Win

 

Orleans – Rouen

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Juventus – Udinese

Juventus Win

 

St Etienne – Troyes

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Crystal Palace – Chelsea

Double Chance: (X2)

 

Almeria – Ath Bilbao

Ath Bilbao total: (Over 1.5)

 

Arouca – FC Porto

FC Porto Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Jumatatu na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Ligi 10 Bora Za Kubetia Sare Duniani 

Leave A Reply


Exit mobile version