Hekaheka za ligi kuu ya Uingereza zinaendelea tena kwa klabu ya Nottingham Forest kumkaribisha Arsenal katika uwanja wa Ground City mchezo wa raundi ya 22 ambapo mgeni akiingia katika mchezo huo akiwa na kumbukumbu ya kutolewa katika ramani ya ubingwa msimu uliopita.

DONDOO:

Nottingham anaingia katika mchezo huu baada ya kutoka kusuluhu ugenini kwa Bristol City katika mchezo wa raundi ya 4 ya kombe la FA huku Arsenal wao wakiingia katika mchezo huu huku wakiwa wamepumzika vya kutosha wikiendi iliyopita baada ya wao kutolewa na Liverpool katika raundi ya 3 ya michuano hiyo.

Arsenal wanaingia katika mchezo huu wakitaka kuendeleza kile ambacho walikifanya wiki iliyopita baada ya ushindi wa mabao 5:0 kwa Crystal Palace katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza.

TAKWIMU:

  • Hii ni mechi ya 105 kati yao kukutana ambapo Arsenal ameshinda michezo 53 na kupoteza michezo 29 na kupata sare michezo 22.
  • Mechi ya hivi karibuni kati yao ni ile ya ufunguzi wa ligi ambapo Arsenal alishinda bao 2:1.
  • Magoli 22 kati ya magoli 29 aliyofungwa Forests katika uwanja wake wa nyumbani wamefungwa kipindi cha 2.
  • Arsenal hawajafunga zaidi ya goli moja katika michezo yake 4 ya mwisho ugenini katika mechi za ligi huku akipoteza michezo 2.
  • Magoli 6 kati ya 9 ya Bukayo Saka msimu huu ameyafunga kipindi cha kwanza.
  • Nottingham wanaingia katika mchezo huu huku wachezaji wao takribani 6 wakiwa katika michuano ya AFCON katika nchi mbalimbali walizoitwa.

TUNABETIJE?

  1. Arsenal anashinda mchezo (Arsenal Win)
  2. Kipindi cha kwanza timu kufungana Hapana (Both teams to score 1st Half No)
  3. Magoli zaidi ya 3 (Over 2.5 Goals)
  4. Magoli mengi zaidi kupatikana kipindi cha pili (Highest scoring half: Second half)

SOMA ZAIDI: Morocco vs South Africa, Takwimu Na Mkeka

Leave A Reply


Exit mobile version