Kuna masoko mengi zaidi ambayo watu wengi huyaacha lakini mara nyingi huwa watu wengi wanafaidika nayo katika ubashiri kwa kuweka dau na kushinda. Na hii leo tulitazame soko hili la Kipindi cha kwanza (Halftime) au Mechi kamili(Fulltime).

Kupitia soko hili una uwanda mpana na mkubwa zaidi wa kuchagua masoko mbalimbali ndani yake na kushinda ambapo unaweza kuchagua

  • Magoli

Hapa unaweza kubashiri magoli ya kipindi cha kwanza au magoli ya mechi nzima na hapo ukumbuke kuwa katika soko hili unaweza pia kuchagua magoli hayo yawe ya juu (Over) au magoli ya chini (Under) Mfano: Halfime Goals Over 1.5 au Halftime Under 1.5

  • Kadi

Kama ilivyo katika magoli basi pia katika kadi unaweza kushinda chap sana kwani maamuzi yanakua ni yako uchague kadi zipatikane kipindi cha kwanza pekee au zipatikane za jumla za mechi kamili. Mfano: Total Bookings 1st Half Over/Under 2.5.

  • Kona

Wapo ambao pia hubashiri kupatikana kwa kona katika option hii ya Halftime/Fulltime kwa kuchagua kuweka dau katika upande wa kona ambapo ni za kama tulivyodili katika masoko mengine tuliyoyaona kama kadi na magoli.

  • Player Special

Ukiachilia mbali option hizo lakini pia kuna njia kubwa tu ya kubashiri katika Player special ambapo utaamua kumpa mchezaji pekee nini afanye katika mechi husika kwa kipindi cha kwanza au kipindi cha pili katika mechi husika.

  • Mashuti

Wapo ambao huamua kubetia kupigwa kwa mashuti katika mechi husika ambapo ni mashuti yapatikane kipindi cha kwanza pekee au katika mechi husika kwa timu husika au pale ambapo utaamua kumchagua mchezaji mmoja pekee.

SOMA ZAIDI: Jinsi Ya Kubashiri Kadi Katika Mechi (Betting In Bookings)

2 Comments

  1. Jackson Dunia on

    Maana yake ni kwamba unabashiri matokeo ya kipindi cha kwanza na baada ya mechi kutamatika mfano HT/FT[1] Hapa inamaana timu ya nyumbani iongoze kipindi cha kwanza na mechi imalizike timu ya nyumbani kwa ushindi

Leave A Reply


Exit mobile version