GG kwenye kubashiri mpira wa miguu inamaanisha “both teams to score” yaani timu zote mbili zitafunga goli angalau moja katika mechi.

Over/Under 0.5 inamaanisha kubashiri idadi ya mabao itakuwa zaidi ya 0.5 au chini ya 0.5. Kama unachagua “over 0.5”, basi angalau goli moja linapaswa kufungwa katika mechi ili ubashiri wako uwe sahihi. Kama unachagua “under 0.5”, maana yake ni hakuna goli itakayofungwa katika mechi.

Over/Under 1.5 inamaanisha kubashiri idadi ya mabao itakuwa zaidi ya 1.5 au chini ya 1.5. Kama unachagua “over 1.5”, basi angalau mabao mawili yatahitajika kufungwa katika mechi ili ubashiri wako uwe sahihi. Kama unachagua “under 1.5”, maana yake ni chini ya mabao mawili yatafungwa katika mechi.

Exit mobile version