Mambo vipi? Karibu sana kwenye Chuo Cha Kubeti na bila shaka utakua ni miongoni mwa wale ambao wametafuta zaidi kuhusiana na soko hili la “Both Teams to Score in Both Halves” na sisi tuko hapa kwa ajili ya kukufafanulia vizuri zaidi ili wakati wa kubashiri usiteseke kujiuliza jinsi gani utaweka mkeka katika option hii rahisi zaidi.

Katika betting neno GG husimama badala ya Both teams to score yaani kwa Kiswahili ni timu kufungana hivyo basi unapaswa kufahamu kuwa ukiiona popote pale option hii maana yake nit imu kufungana lakini sasa katika hii ya leo limeongezeka neno Both Halves ambapo lina maanisha kuwa vipindi vyote viwili.

Ukitaka kubashiri katika soko hili ni muhimu kufahamu kuwa unaweka ubashiri wa kuwa timu zifungane katika vipindi vyote viwili yaani kipindi cha kwanza na kipindi cha pili ili uweze kushinda option hii.

Mfano: Mechi kati ya Barcelona vs Real Madrid ukiweka ubashiri wa option hii ya GG in Both Halves maana yake ni kuwa katika mechi hii kipindi cha kwanza timu zifungane magoli yoyote yale 1:1, 1:2, 2:1 nk lakini pia na kipindi cha pili nacho kuwe hivyohivyo au zaidi yake cha msingi cha kuzingatia hapa ni timu zifungane.

Endapo itatokea labda kipindi cha kwanza timu zikifungana na kipindi cha pili zisipofungana basi tambua kuwa mkeka wako umechanika na ikitokea hivyohivyo kwa kipindi cha kwanza basi tambua kuwa pia utakua umechanika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya Match Result and GG Katika Betting?

8 Comments

  1. Pingback: Timu Za Kuziepuka Ukiwa Unasuka Mikeka - Kijiweni

  2. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumatano Wa Motooo - Kijiweni

  3. Pingback: Nini Maana Ya “To Win Both Halves”na “Goal in Both Halves” - Kijiweni

  4. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumatatu 22/04/2024 Anza Wiki Kibabe - Kijiweni

  5. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumanne 23/04/2024 - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version