Karibu sana kwenye Chuo Cha Kubet, bila shaka utakua mmoja ya wale wanaojiuliza nini maana ya Correct Score ambayo ni moja kati ya Option ambayo wawekezaji huwa wanaitumia katika kuweka mikeka yao na sisi tuko hapa kukuelezea kiundani zaidi ni nini haswa na jinsi gani ya kuweka lakini pia inafanyaje kazi.

Nini maana ya “Correct Score”?

Hii ni moja kati ya option ambayo inapatikana katika ubashiri ambayo inahitaji umakini wa hali ya juu katika kuweka ubashiri wako kwani mara nyingi huwa ni njia ya ubashiri ya kubahatisha na ngumu zaidi. Wengine huamua Kwenda mbali zaidi na kusema zipo fixed matches kitu ambacho sio kweli haswa kwa wale ambao hupenda kujaribu njia hii kwa kununua toka kwa watu.

Hii iko hivi unaweza kubashiri kuwa katika mechi kati ya Tanzania dhidi ya Morocco kuwa itoke kwa matokeo ya bao 2:2 jambo ambalo ikitokea imeisha hivyo basi utashinda na mara nyingi huwa na odds kubwa sana, lakini ikitokea mchezo umeenda kinyume na kile ambacho umeweka basi hapo mkeka wako umechanika.

Option hii haina kona kona kwani kile ambacho umebashiri kitokee ndicho kinachotakiwa kutokea na endapo matokeo yatakua hayaepo vile umeweka basi umeliwa mkeka wako .

Kwa ufupi dau la Correct Score huwa ni gumu sana kwani hakuna guarantee ya moja kwa moja na mara nyingi huwa ni kubahatisha tu.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya “Draw No Bet” Katika Betting?

Leave A Reply


Exit mobile version