Kila namna ana njia yake ya ubashiri ambayo huwa anaipenda katika kusuka mikeka yake akiwa na imani ya kushinda mkeka huo ingawa ni namna tu ya kuchagua masoko ambayo unadhani yatakupendeza zaidi na wapo ambao hujiuliza kuhusu option hii ya Anytime Goalscorer inayopatikana katika tovuti mbalimbali za ubashiri.

Ukiachana na njia mbalimbali ambazo umekua ukiendelea kujifunza kuhusu betting kutoka Chuo Cha Kubeti hapa Kijiweni hii leo tutazame kuhusu soko hili ambalo wapo ambao huweka mikeka kuhusu ambayo ni Anytime Goalscorer.

Ukichagua hii maana ake ni kwamba unapendekeza mfungaji wa muda wowote yule awe mchezaji ambaye utamchagua katika kubashiri kwako. Mfano katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Azam dhidi ya Simba ukaamua kusema kuwa Anytime Goalscorer ni Feisal na ikatokea akashinda goli muda wowote ule katika mchezo huo basi umeshinda.

Ikitokea mechi imeisha na Azam ameshinda lakini mchezaji Feisal ambaye umemchagua hajashinda goli basi tambua kuwa mkeka wako haujashinda.

SOMA ZAIDI: Nini Maana ya GG Katika Betting?

 

4 Comments

  1. Pingback: Usijichanganye Brentford vs Man City Beti Hivi - Kijiweni

  2. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumapili Ushindwe Wewe Tu Kushinda - Kijiweni

  3. Pingback: Mkeka Wa Leo Jumatano 17/04/2024 - Kijiweni

  4. Pingback: Mkeka Wa Leo Alhamis 25/04/2024 Ushindi Mwingi - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version