Wapo ambao ndio mara yao ya kwanza kuanza kuingia katika harakati za ubashiri wa mkeka na kuna ambao hukuta masoko meengii na huwachanganya lakini swala la kwanza kabisa ambalo hukutana nalo katika ubashiri ni Pamoja na soko la 1×2 ambalo huwa la kwanza kabisa katika kampuni nyingi za ubashiri.

Hii leo tumekuandalia uelewe kwa undani kabisa nini maana ya 1×2 na kwanini huwa ni moja kati ya yale masoko ambayo wengi hubashiri nayo na kusuka mikeka na maelezo yake ni kama ifuatavyo:

1: Nyumbani (Home):

Mara nyingi ukikutana na namba 1 katika ubashiri wa 1×2 basi namba moja maana yake ni timu ya nyumbani kwahiyo kama unabashiri ukiwe 1 basi jua kuwa unabashiri timu ya nyumbani ishinde mchezo huo. Mfano: Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo ukiwa Simba vs Yanga ukikuta imekaa hivi:

1 x 2
Simba Yanga
1.56 2.00 1.56

 

Ikitokea umempa Simba ashinde basi unachukua kiasi chako cha ubashiri halafu zidisha kwa odds za simba kisha kata asilimia 15 za kodi basi ndio ushindi utakaoupata. Kama ambavyo unavyoona katika jedwali hili hivyo ni kuwa mara zote timu inayokua nyumbani huwa na namba 1.

 

x: Sare (Draw)

Hii ni option ambayo huwa katika ubashiri wa soko la 1×2 ambapo mara zote ni kuwa unabashiri mchezo uishe sare n ani moja ya soko gumu zaidi ambalo watu huogopa kuliweka kutokana na kuwa huamini zaidi katika timu ya nyumbani au ya ugenini ipate ushindi katika mchzo husika. Ni moja kati ya soko ambalo ukichagua timu kama 5 tu zipate sare huwa na odds kubwa sana ndio maana nasema ni soko gumu sana.

2: Ugenini(Away)

Kama ilivyo kwa soko la 1 ambalo tumlijadili hapo juu basi tambua kuwa option hii ya 2 katika ubashiri maana ake unabashiri kuwa timu ya ugenini ishinde katika mchezo huo husika. Unavyoona tu katika ubashiri kuwa wa ugenini ana namba 2 maana yake ni kuwa wa ugenini na unapomuwekea ubashiri maana ake ni kuwa timu ya ugenini ishinde katika mchezo huo. Mfano mchezo kati ya Simba na Yanga:

1 x 2
Simba Draw Yanga
1.56 2.00 1.56

 

Ukiweka na kuchagua soko namba 2 maana yake unampa Yanga ashinde katika mchezo huo.

SOMA ZAIDI: Ligi Za Kuziepuka Wakati Wa Betting.

3 Comments

Leave A Reply


Exit mobile version