Ni mechi ambayo wanakutana mabingwa wa zamani wa michuano hii na kila mmoja akihitaji kuongeza idadi ya makombe katika kabati la timu yake ya taifa ni mechi kati ya Nigeria dhidi ya wenyeji ambao wamekua na matokeo ya kushangaza katika michuano hii mpaka kufika hatua ya fainali timu ya taifa ya Ivory Coast.

Bila shaka kabisa ni mchezo wa fainali ambao mashabiki wengi wa soka nje na ndani ya bara la Afrika watakua wakiutazama kuona nani atakua bingwa wa AFCON kwa mwaka huu kati ya vigogo hao wakubwa wa soka barani Afrika mchezo ambao utapigwa katika dimba la Alassane Ouattara

Nigeria wanasaka taji la 4 la AFCON huku Ivory Coast wao wakiwa wanasaka taji la 3 la michuano hii mikubwa barani Afrika kwa ngazi ya timu za taifa.

TAKWIMU:

Michuano ya AFCON msimu huu imekua na matokeo ya kushtukiza ambayo yameifanya michuano ya msimu huu kuvuia barani Africa na ulimwenguni kwa ujumla jambo ambalo limeifanya watu kutoamini katika takwimu zaidi sana upambanaji wa timu.

  • Nigeria ameshinda mara 3 na kupoteza mara 2 katika mechi 5 za mwisho kukutana na Ivory Coast
  • Katika mechi 10 za mwisho kwa timu zote 2, Nigeria amepoteza mara 1 huku Ivory Coast akipoteza mara 2
  • Hii ni mara ya 20 ambayo Nigeria anashiriki katika michuano ya AFCON huku Ivory Coast yeye akishiriki mara ya 25
  • Ivory Coast wameshinda mabao 4 na kuruhusu saba katika mechi zao 5 za mwisho.
  • Nigeria ameshinda michezo yake yote 5 ya mwisho wakati Ivory Coast ameshinda 3 na kupoteza miwili.

TUNABETIJE?

Ili kuepuka fedheha na kuona namna ambavyo timu zote mbili zitakavyokua zimepaniana katika mchezo huu basi unaweza kuamua kubashiri katika upande wa magoli na special tips ambazo ni hizi hapa:

  1. Mechi kuwa na magoli zaidi ya 2 (Game to have over 2.5 goals – Yes)
  2. Ivory Coast kuwa wa kwanza kufunga goli (Cote d’Ivoire to score first – Yes)
  3. Nigeria kupata goli (Nigeria to score – Yes)

SOMA ZAIDI: Nini maana ya 1×2 katika betting?

Leave A Reply


Exit mobile version