Baada ya mchezo wa kiporo wa Group D ambapo kutoka Tanzania mwakilishi wake ni Yanga ni wazi kuwa kundi limekaa kimtego na yeyote anaweza kufuzu kwenda hatua ya robo fainali ya michuano hii huku Simba yeye pia akipambania kufuzu hatua inayofuata ambapo atakua ugenini kucheza dhidi ya Asec Mimosas. Hapa tutazame msimamo wa makundi yote ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

MSIMAMO WA GROUP B 

Msimamo wa Group C

Msimamo wa Group D

Kama ambavyo umeona huo ndio msimamo wa makundi yote baada ya mechi 4 kukamilika kwa kila kundi.

Baada ya michezo minne kwa timu zote kwenye kundi D la CAF champions league kwa hali ya kundi bado kila timu ina nafasi ya kupita kama ikifanya vizuri kwenye michezo iliyosalia.

Tofauti ni alama moja kwa timu zote huku CR Belouizdad na Yanga wakiwa sawa na alama 5 wote tofauti ni magoli ya kufunga na kufungwa huku Al Ahly wakiongoza kundi na Medeama wakiwa wa mwisho kwenye kundi.

Mechi mbili zilizosalia ni fainali kwa kila timu ili kuweza kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kuweza kusonga mbele.

SOMA ZAIDI: Ratiba Kamili Ligi Ya Mabingwa Mwezi Huu

Leave A Reply


Exit mobile version