Mwekezaji mambo vipi? Tunaianza wiki kwa mkeka wa leo jumatatu wenye timu 11 kutoka ligi kubwa mbalimbali duniani bila kusahau pia kuhusu ligi kuu ya Tanzania. Kumbuka kuupitia vyema na kupunguza au kuongeza masoko kutoka katika mechi hizi na Bashiri kwa kiasi.

 

Al Adalah – Jeddah

Al Adalah Win

 

Young Africans – Dodoma Jiji

Young Africans Win

 

APOEL – AEK Larnaca

DC & BTS: (1X & YES)

 

FCSB – Farul Constanta

FCSB Win

 

Burnley U21 – Fulham U21

Fulham U21 Win

 

Charlton U21 – Wolves U21

Total: (Over 2.5)

 

Brighton U21 – Hull U21

Brighton U21 Win

 

AS Roma – Cagliari

AS Roma Win

 

Bastia – AC Ajaccio

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Brentford – Manchester City

Manchester City Win

 

Rayo Vallecano – Sevilla

Goal Between 1 – 15 Mins: (No)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Jumatatu na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini maana ya GG, over/under 0.5 and over/under 1.5 kwenye kubashiri mpira wa miguu

Leave A Reply


Exit mobile version