Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumatatu kutoka Kijiweni ambapo tunainza wiki na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Sunderland U21 – Newcastle Utd U21

Total: (Over 2.5)

 

Bayreuth – Ansbach

Bayreuth total: (Over 1.5)

 

West Brom U21 – Manchester Utd U21

1st Half Total: (OVER 0.5)

 

Crawley – Stockport County

Total: (Over 2.5)

 

Youssoufia Berrechid – Wydad

Wydad Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

Unaweza kupitia zaidi kuhusu dondoo na jinsi ya kujifunza kubashiri kwa kupitia kwenye CHUO CHA KUBETI kwa kugusa hapa

SOMA ZAIDI; Nini Maana Ya 1×2 Katika Betting?

 

Leave A Reply


Exit mobile version