Karibu sana kwenye mkeka wa leo jumatatu kutoka Kijiweni ambapo tunaianza wiki na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

 

Haikou Mingcheng – Guangdong GZ-Power

Guangdong GZ-Power Win

 

Crewe U21 – Ipswich U21

Ipswich U21 Win

 

Sheffield Utd U21 – Watford U21

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Arab Contractors – Pyramids

Double Chance: (X2)

 

CSKA 1948 Sofia – Lok. Sofia

CSKA 1948 Sofia Win

 

Levadia U21 – Paide Linnameeskond U21

Levadia U21 Win

 

Rollon Pojat – SJK

Halftime/Fulltime: (2/2)

 

Ludogorets – Arda

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Zamalek – Al Ahly

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Tikka – PuiU

PuiU Win

 

St. Truiden U21 – Eupen U21

Total: (Over 2.5)

 

Paderborn II – Wegberg-Beeck

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Arsenal U21 – Aston Villa U21

DC & BTS: (1X & YES)

 

Tottenham U21 – Wolves U21

Tottenham U21 total: (Over 1.5)

 

Atalanta – Verona

Atalanta Win

 

Chelsea – Everton

DC & BTS: (1X & YES)

 

Osasuna – Valencia

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya Handicap Katika Betting?

 

 

6 Comments

    • Mkuu Habari, Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika. Endelea kufurahia maudhui ya KIJIWENI

Leave A Reply


Exit mobile version