Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumatano kutoka Kijiweni ambapo tunainza wikiendi na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Panetolikos – Olympiacos Piraeus

Olympiacos Piraeus Win

 

Sassuolo – Napoli

Goal Bands 2-4: (Yes)

 

Omonia – Zakakiou

Omonia Win

 

AEK Athens FC – Giannina

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Panserraikos – PAOK

PAOK Win

 

Panathinaikos – Aris

1X2 & BTS: (1 & YES)

 

Royale Union SG – Club Brugge KV

1st Half Multi Goals: (1 – 2)

 

Chelsea – Leeds

Chelsea Win

 

Inter – Atalanta

Double Chance: (1X)

 

Liverpool – Southampton

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana ya “GG in Both Halves” Katika Betting?

Leave A Reply


Exit mobile version