Jumatano si ndo hii? Karibu sana kwenye mkeka wa leo ambao una mechi za mapema kabisa Pamoja na zile za ligi ya mabingwa Ulaya. Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lkini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi.

 

Niki Volos – Apollon Pontou

Niki Volos Win

 

Goa – North East Utd

Goa Win

 

Gent – Maccabi Haifa

1X2 & BTS: (1 & YES)

 

Zakakiou – Anorthosis

Anorthosis Win

 

Al Nassr (Sau) – Al Feiha (Sau)

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Liverpool – Luton

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

FC Porto – Arsenal

Total: (Over 2.5)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Jumatano na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

 

SOMA ZAIDI: Ligi Bora Za Kubetia Magoli Zaidi Ya 4 Katika Mechi Moja

Leave A Reply


Exit mobile version