Jumatano si ndio hii? Karibu sana tuutazame mkeka wa leo wenye odds zaidi ya 200 wenye timu mbalimbali kutoka ligi kubwa duniani bila kusahau zile mechi za nusu fainali ya michuano ya mataifa barani Afrika, unaweza kupitia mkeka huu na kuurekebisha au kuongezea timu kwa vile ambavyo unaona itakua vyema kwako wewe kumpiga mipesa mhindi.

 

Nigeria – South Africa

Double Chance: (1X)

 

Mainz – Union Berlin

1st Half Multi Goals: (1 – 2)

 

Lyon – Lille

Goal Between 1 – 15 Mins: (No)

 

Cottbus – Viktoria Berlin

HT/FT: (1/1)

 

BFC Dynamo – Chemie Leipzig

BFC Dynamo Win

 

Dender – Seraing

Dender Win

 

Montpellier – Nice

Double Chance: (X2)

 

Plymouth Parkway – Didcot

Plymouth Parkway Win

 

Nottingham – Bristol City

1st Half Total: (OVER 0.5)

 

 

Saarbrucken – B. Monchengladbach

1X2 & BTS: (2 & YES)

 

Ivory Coast – D.R. Congo

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Aston Villa – Chelsea

DC & BTS: (1X & YES)

 

Feyenoord – AZ Alkmaar

1X2 & BTS: (1 & YES)

 

PSG – Brest

PSG Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Jumatano na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Ligi 10 Bora Za Kubetia Sare Duniani

1 Comment

  1. Pingback: Nigeria vs South Africa Tunabeti Hivi Kwenye Mkeka - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version