Mambo vipi mwekezaji?Karibu sana tuifunge January kwa kuuchungulia mkeka wa leo Jumatano huu tuliouandaa kutoka Kijiweni wenye odds zaidi ya 100. Kumbuka ni michezo kutoka ligi mbalimbali . Kumbuka kuupitia mkeka huu na kutazama vile ambavyo unaweza kuusuka upya ili kuweza kumpiga mhindi.

Leuven – Genk

(2 & GG)

 

Barcelona – Osasuna

HT/FT: (1/1)

 

Manchester City – Burnley

Home to Win Both Halves? (YES)

 

Tottenham – Brentford

Tottenham total: (Over 1.5)

 

Atl. Madrid – Rayo Vallecano

Atl. Madrid Win

 

Royale Union SG – RWDM

HT/FT: (1/1)

 

St. Liege – Antwerp

GG & Over/Under 2.5: (YES/OVER)

 

Liverpool – Chelsea

Total Bookings Over 4.5

Bila shaka umeziona mechi zote 11 ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo jumatano na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Ligi Bora Za Kubetia Kufungana GG 2024

1 Comment

  1. Pingback: Liverpool vs Chelsea Tunasuka Hivi Mkeka - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version