Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumanne kutoka Kijiweni ambapo tunainza wiki na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Zhodino – Shakhtyor Soligorsk

Zhodino Win

 

Goa – East Bengal

1st Half Total: (OVER 0.5)

 

BATE – Din. Minsk

Din. Minsk Win

 

Aris – Panetolikos

Aris Win

 

Orlando Pirates – Cape Town Spurs

Orlando Pirates Win

 

Sporting CP – Atalanta

Double Chance: (X2)

 

Southampton – Preston

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Manchester City – FC Copenhagen

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Real Madrid – RB Leipzig

Real Madrid total: (Over 1.5)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya “To Win Both Halves”na “Goal in Both Halves”

Leave A Reply


Exit mobile version