Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumatano kutoka Kijiweni ambapo tunaianza wiki na timu hizi za mataifa mbalimbali bila kusahau zile mechi za klabu ambapo ni mechi za mapema kabisa.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Flamengo RJ U20 – Madureira U20

Flamengo RJ U20 Win

 

St. Pauli II – Phonix Lubeck

Total: (Over 2.5)

 

Nova Iguacu U20 – Vasco U20

Vasco U20 Win

 

Chelsea W – Ajax W

Chelsea W Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

Unaweza kupitia zaidi kuhusu dondoo na jinsi ya kujifunza kubashiri kwa kupitia kwenye CHUO CHA KUBETI kwa kugusa hapa

 

SOMA ZAIDI; Nini Maana Ya 1×2 Katika Betting?

Leave A Reply


Exit mobile version