Karibu sana kwenye mkeka wa leo jumatano kutoka Kijiweni ambapo tunaiendeleza wiki na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

Zagreb – Varazdin

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

CSKA Sofia – Botev Plovdiv

CSKA Sofia Win

 

Brann – HamKam

Brann Win

 

Molde – Odd

Molde Win

 

Eckernforder SV – Neumunster

1X2 & BTS: (2 & YES)

 

Eichede – Dornbreite Lubeck

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Hohenwestedt – Todesfelde

Halftime/Fulltime: (2/2)

 

Al Ahli Doha – Al-Sadd

Al-Sadd Win

 

Bayern Munich – Arsenal

Both teams to score: (YES)

 

Manchester City – Real Madrid

DC & BTS: (1X & YES)

 

Dundee FC – Rangers

Rangers Win

 

FC Porto – Vitoria Guimaraes

FC Porto Win

 

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

 

SOMA ZAIDI: Nini maana ya Anytime Goalscorer Katika Betting?

 

 

8 Comments

  1. Jaribun nakutoa option zile ambazo hatuzielew km option ya ( player sent off) tuwe tunaelekezan maan izi option tulizo kalili tunashindwa kumpigah muhindi😂😂

Leave A Reply


Exit mobile version