Karibu sana kwenye mkeka wa leo kutoka Kijiweni ambapo tunaingia wikiendi na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

 

Qingdao Hainiu – Shanghai Port

Shanghai Port Win

 

Ch. Odessa – Shakhtar Donetsk

Shakhtar Donetsk Win

 

Shanghai Shenhua – Cangzhou

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

TSV Havelse – Bremer

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Eimsbutteler – Lohne

1st Half Total: (OVER 0.5)

 

Dyn. Kyiv – Veres-Rivne

Dyn. Kyiv Win

 

Como – Cittadella

Como Win

 

Stellenbosch – Golden Arrows

Stellenbosch Win

 

 

El Ismaily – Al Ahly

Al Ahly Win

 

Enppi – Pyramids

Pyramids Win

 

Lecco – Sampdoria

Double Chance: (X2)

 

Glentoran – Coleraine

1st half – Double Chance: (1 or 2)

 

Crusaders – Carrick Rangers

1st Half Total: (OVER 0.5)

 

Dortmund – PSG

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

 

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya Match Result and GG Katika Betting?

 

3 Comments

Leave A Reply


Exit mobile version