Tunaimaliza wikiendi na mkeka wa leo kutoka Kijiweni wenye odds zaidi ya 300 ni nafasi kwako sasa kupitia na kupunguza au kuusuka upya ili kuhakikisha kuwa tunampiga mhindi na kuianza wiki tukiwa na kibunda mkononi. Hapa kuna ligi kubwa mbalimbali duniani tulizochagua baadhi ya timu tu.

Torino – Salernitana

Torino Win

 

Monaco – Le Havre

Monaco Win

 

Hannover – Hansa Rostock

(1 & GG)

 

Villarreal – Cadiz CF

Villarreal total: (Over 1.5)

 

Utrecht – FC Volendam

(1 & Over 1.5)

 

Chelsea – Wolves

Chelsea Win

 

Lille – Clermont

Lille Win

 

Napoli – Verona

Napoli Win

 

Rijeka – Istra 1961

Home to Win Both Halves? (YES)

 

AEK Athens FC – Asteras Tripolis

HT/FT: (1/1)

  1. Zagreb – Gorica

Home to Win Both Halves? (YES)

 

SK Rapid – St. Polten

SK Rapid Win

 

Betis – Getafe

Double Chance: (1X)

 

Benfica – Gil Vicente

Home to Win Both Halves? (YES)

 

Atromitos – PAOK

PAOK Win

 

Lyon – Marseille

1st Half: (Under 1.5)

 

Real Madrid – Atl. Madrid

1st Half: (Under 1.5)

 

Braga – Moreirense

Braga Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Jumamosi na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini maana ya player specials katika betting?

Leave A Reply


Exit mobile version