Tuimalize wikiendi na mkeka wa leo wenye timu 13 kutoka ligi kubwa mbalimbali duniani na timu zinazofahamika ikiwemo ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL. Kumbuka kuupitia mkeka huu na kupunguza au kuongeza vile ambavyo unaona wewe inafaa ili uweze kushinda na kuwa na wikiendi yako nzuri kabisa na pesa ya kula bata.

 

Fiorentina – Frosinone

Fiorentina Win

 

RWDM – Antwerp

1X2 & BTS: (2 & YES)

 

Heerenveen – Ajax

DC & BTS: (X2 & YES)

 

West Ham – Arsenal

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Hajduk Split – Slaven Belupo

Hajduk Split Win

 

Stuttgart – Mainz

1X2 & BTS: (1 & YES)

 

FC Volendam – PSV

Halftime/Fulltime: (2/2)

 

LASK – A. Klagenfurt

LASK Win

 

Slavia Prague – Jablonec

Slavia Prague Win

 

Feyenoord – Sparta Rotterdam

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Nice – Monaco

DC & BTS: (1X & YES)

 

Barcelona – Granada CF

Barcelona Win

 

Vitoria Guimaraes – Benfica

Benfica Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo jumapili na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Ligi Bora Za Kubetia Magoli Zaidi Ya 4 Katika Mechi Moja

Leave A Reply


Exit mobile version