Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumapili kutoka Kijiweni ambapo tunainza wiki na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Chelsea – Leicester

1X2 & BTS: (1 & YES)

 

Kasimpasa – Galatasaray

Galatasaray Win

 

Heerenveen – Feyenoord

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

West Ham – Aston Villa

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Monaco – Lorient

Monaco Win

 

Reims – Metz

Reims Win

 

Verona – AC Milan

Double Chance: (X2)

 

Slavia Prague – Liberec

Slavia Prague Win

 

Freiburg – Bayer Leverkusen

Total: (Over 2.5)

 

Leeds – Millwall

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Dortmund – Eintracht Frankfurt

DC & BTS: (1X & YES)

 

AS Roma – Sassuolo

AS Roma Win

 

Sparta Prague – Hradec Kralove

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

PSV – Twente

PSV Win

 

Montpellier – PSG

Goal Between 1 – 15 Mins: (No)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

 

SOMA ZAIDI; Nini Maana Ya 1×2 Katika Betting?

Leave A Reply


Exit mobile version