Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumapili kutoka Kijiweni ambapo tunaianza wikiendi na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Vitesse – Nijmegen

Total: (Over 2.5)

 

Brest – Metz

Brest Win

 

Genk U23 – St. Liege U23

Genk U23 Win

 

Dusseldorf – Braunschweig

DC & BTS: (1X & YES)

 

Malmo FF – Hammarby

1X2 & BTS: (1 & YES)

 

Toulouse – Strasbourg

DC & BTS: (1X & YES)

 

Zenit – Baltika

Zenit Win

 

APOEL – Anorthosis

APOEL Win

 

Salzburg – SK Rapid

Salzburg total: (Over 1.5)

 

Monaco – Rennes

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Cagliari – Atalanta

Double Chance: (X2)

 

Verona – Genoa

Double Chance: (X2)

 

Sparta Prague – Mlada Boleslav

Sparta Prague Win

 

Sheffield Utd – Chelsea

Total: (Over 1.5)

 

Tottenham – Nottingham

Tottenham Win

 

Pirin Blagoevgrad – Ludogorets

Ludogorets Win

 

FC Porto – Vitoria Guimaraes

FC Porto Win

 

Flamengo RJ – Nova Iguacu

Halftime/Fulltime: (1/1)

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya Handicap Katika Betting?

 

Leave A Reply


Exit mobile version