Mambo vipi mwekezaji?Karibu sana tutazame namna ambavyo tunaiendeleza January kwa kuuchungulia mkeka huu tuliouandaa kutoka Kijiweni wenye odds zaidi ya 100. Kumbuka ni michezo kutoka ligi mbalimbali bila kusahau hatua ya 16 bora ya michuano ya mataifa barani Afrika. Kumbuka kuupitia mkeka huu na kutazama vile ambavyo unaweza kuusuka upya…!!

 

Uzbekistan – Thailand

Uzbekistan Win

 

Mali – Burkina Faso

1st Half: (Under 1.5)

 

APOEL – Karmiotissa

APOEL Win

 

Zakakiou – Anorthosis

Anorthosis Win

 

Nottingham – Arsenal

Arsenal Win

 

Club Brugge KV – Kortrijk

Home to Win Both Halves? (YES)

 

Westerlo – Cercle Brugge KSV

1st Half: (Over 0.5)

 

Morocco – South Africa

GG & Over/Under 2.5: (YES/OVER)

 

Crystal Palace – Sheffield Utd

Crystal Palace Win

 

Aston Villa – Newcastle

Total: (Over 2.5)

Bila shaka umeziona mechi zote 11 ambazo tumekuandalia na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Ligi Bora Za Kubetia Kufungana GG 2024

1 Comment

  1. Pingback: Mali vs Burkina Faso, Tunausuka Hivi Mkeka - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version