Mwekezaji mambo vipi? Karibu sana kwenye mkeka wa hii leo jumanne wenye odds zaidi ya 100 na timu kutoka ligi mbalimbali bila kusahau michuano ya mabingwa barani Ulaya yaani Uefa Champions League. Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lkini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi.

 

Othellos Athienou – Paphos

Paphos Win

 

Ostrava – Plzen

Goal Between 1 – 15 Mins: (No)

 

Swansea – Leeds

1X2 & BTS: (2 & YES)

 

Norwich – Watford

Total: (Over 2.5)

 

Portsmouth – Cambridge Utd

Portsmouth Win

 

FC Copenhagen – Manchester City

1X2 & Total: (2 & Over 1.5)

 

RB Leipzig – Real Madrid

DC & BTS: (12 & YES)

 

West Brom – Cardiff

DC & BTS: (1X & YES)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Jumanne na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini maana ya Player Specials Katika Betting?

1 Comment

  1. Pingback: FC Copenhagen vs Man City Tunasuka Hivi Mkeka - Kijiweni

Leave A Reply


Exit mobile version