Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumanne kutoka Kijiweni ambapo tunainza wikiendi na timu hizi kutoka ligi mbalimbali duniani.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Red Star – GOAL FC

Red Star Win

 

Otelul – CFR Cluj

CFR Cluj Win

 

Bournemouth – Leicester

DC & BTS: (1X & YES)

 

Derby – Charlton

Goal Bands 2-4: (Yes)

 

Blackburn – Newcastle

Newcastle Win

 

Luton – Manchester City

Halftime/Fulltime: (2/2)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Timu Za Kuziepuka Ukiwa Unasuka Mikeka

Leave A Reply


Exit mobile version