Tunaiendeleza wiki na mkeka wa leo Jumanne wenye timu chache na odds chache kutoka Kijiweni wenye timu za ligi mbalimbali duniani kutoka Hispania na Uingereza. Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lkini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi.

 

Al Masry – Baladiyat El Mahalla

Al Masry Win

 

Manchester City – Brentford

Home to Score in Both Halves: (YES)

 

Ipswich – Rotherham

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Southampton – Hull

Southampton Win

 

Inter – Atl. Madrid

Goal Between 1 – 15 Mins: (No)

 

PSV – Dortmund

DC & BTS: (12 & YES)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Jumanne na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Nini Maana ya “GG in Both Halves” Katika Betting?

Leave A Reply


Exit mobile version