Mwekezaji mambo vipi? Tunaiendeleza wiki kwa mkeka wa leo Jumanne wenye timu 10 kutoka ligi kubwa mbalimbali duniani bila kusahau pia kuhusu michuano ya bara la Asia. Kumbuka kuupitia vyema na kupunguza au kuongeza masoko kutoka katika mechi hizi na Bashiri kwa kiasi.

 

Jordan – South Korea

South Korea Win

 

Bristol Rovers – Fleetwood

1st Half Multi Goals: (1 – 2)

 

Exeter – Peterborough

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Altrincham – Dorking

Altrincham Win

 

Dag & Red – Chesterfield

1X2 & BTS: (2 & YES)

 

Gateshead – Eastleigh

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Woking – Oxford City

1X2 & BTS: (1 & YES)

 

Coventry – Sheffield Wed

Coventry Win

 

Plymouth – Leeds

Leeds Win

Southampton – Watford

HT/FT: (1/1)

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo Jumanne na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Jinsi ya kuweka mikeka katika ubashiri wa kadi.

1 Comment

Leave A Reply


Exit mobile version