Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumanne kutoka Kijiweni ambapo tunaianza wiki na timu hizi za mataifa mbalimbali bila kusahau zile mechi za klabu ambapo ni mechi za mapema kabisa.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Vietnam – Indonesia

Indonesia Win

 

Azerbaijan U21 – Ukraine U21

Ukraine U21 Win

 

Thailand – South Korea

South Korea Win

 

North Macedonia U21 – Sweden U21

Sweden U21 Win

 

India – Afghanistan

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Greece U21 – Andorra U21

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Uzbekistan – Hong Kong

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Tajikistan – Saudi Arabia

Saudi Arabia Win

 

Georgia – Greece

DC & BTS: (X2 & YES)

 

Lithuania – Gibraltar

Lithuania Win

 

Austria U21 – Cyprus U21

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Germany U21 – Israel U21

Germany U21 Win

 

Serbia U21 – Northern Ireland U21

Serbia U21 Win

 

Southport – Bishop’s Stortford

Southport Win

 

Hornchurch – Concord

Hornchurch Win

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata.

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

SOMA ZAIDI: Ligi Za Kuziepuka Wakati Wa Betting

 

Leave A Reply


Exit mobile version