Karibu sana kwenye mkeka wa leo kutoka Kijiweni ambapo tunaiendeleza wiki na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Neumarkt – Eltersdorf

DC & BTS: (X2 & YES)

 

Arminia Hannover – BSV Rehden

1X2 & Total: (2 & Over 1.5)

 

Al Ahly – Ceramica Cleopatra

Double Chance: (1X)

 

Pharco – Al Masry

DC & BTS: (X2 & YES)

 

Degerfors – Helsingborg

1st Half Total: (OVER 0.5)

 

Mamelodi Sundowns – Sekhukhune

Mamelodi Sundowns Win

 

Al Hilal (Sau) – Al Ain (Uae)

Halftime/Fulltime: (1/1)

 

Bamber Bridge – Macclesfield

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

Auxerre – Laval

Auxerre Win

 

Arsenal – Chelsea

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

JIUNGE KATIKA GROUP LA MIKEKA LA KIJIWENI KWA KUBONYEZA HAPA 

 

SOMA ZAIDI: Nini Maana ya “GG in Both Halves” Katika Betting?

 

 

7 Comments

Leave A Reply


Exit mobile version