Karibu sana kwenye mkeka wa leo Jumamosi kutoka Kijiweni ambapo tunaingia wikiendi na timu hizi za ligi mbalimbali.Kumbuka kuupitia na kuongeza au kupunguza timu kwa vile ambavyo unaona inafaa ili kuweza kushinda lakini kubwa zaidi kumbuka kubashiri kwa kiasi kwani siku zote sio mikeka yote itakupa uhakika wa ushindi moja kwa moja.

 

Celta Vigo – Las Palmas

Double Chance: (1X)

 

Sparta Prague – Ostrava

Sparta Prague Win

 

TPS – Mikkeli

TPS Win

 

FC Koln – Darmstadt

FC Koln Win

 

Heidenheim – RB Leipzig

RB Leipzig Win

 

Luton – Brentford

Brentford Win

 

Sheffield Utd – Burnley

Double Chance: (X2)

 

Cardiff – Southampton

BTS & Total: (Yes & Over 2.5)

 

 

Rotherham – Birmingham

Birmingham Win

 

Bolton – Port Vale

Bolton Win

 

Portsmouth – Wigan

Portsmouth Win

 

Dundee Utd – Ayr

Dundee Utd Win

 

Rayo Vallecano – Osasuna

Goal Between 1 – 15 Mins: (No)

 

Ingolstadt – Duisburg

DC & BTS: (1X & YES)

 

Den Haag – Eindhoven FC

Den Haag Win

 

Hebar – Ludogorets

Ludogorets Win

 

Wolfsberger AC – A. Lustenau

Wolfsberger AC Win

 

Orlando Pirates – AmaZulu

Orlando Pirates Win

 

Empoli – Napoli

Double Chance: (X2)

 

Servette – Grasshoppers

1X2 & BTS: (1 & YES)

 

Westerlo – St. Liege

Total: (Over 2.5)

 

Manchester City – Chelsea

1X2 & Total: (1 & Over 1.5)

 

Union Berlin – Bayern Munich

1X2 & Total: (2 & Over 1.5)

 

Valencia – Betis

1st Half Total: (UNDER 1.5)

 

Maastricht – Willem II

1X2 & BTS: (2 & YES)

 

Levski Sofia – Beroe

Levski Sofia Win

 

Gent – KV Mechelen

Gent total: (Over 1.5)

 

Wolves – Arsenal

Arsenal Win

 

Lens – Clermont

Lens Win

 

Girona – Cadiz CF

Girona Win

 

 

Bila shaka umeziona mechi zote ambazo tumekuandalia katika mkeka wa leo na kazi ni kwako sasa katika kuhakikisha kuwa unachagua kampuni ambayo unadhani una bahati nayo nzuri katika kuweka mikeka yako ya ushindi. Kumbuka hairuhusiwi kushiriki katika michezo ya ubashiri kama uko chini ya miaka 18 na weka mikeka yako kwa kiasi ambacho unadhani hata ukikipoteza itakua rahisi kukipata

Mkeka huu tumeandaa kama ambavyo huwa unaandaa wewe hivyo hatukupi 100% ya ushindi kutoka kwetu zaidi sana chaguzi za timu ambazo tunaziona zina uwezekano mkubwa wa kuleta matokeo kwa kile ambacho tunakua tumekiandaa katika option husika.

 

SOMA ZAIDI: Nini Maana Ya Match Result and GG Katika Betting?

 

 

6 Comments

  1. Kijiweni mnajuaa sanaaa.. Much appreciated admin unafanya Kaz Yako vizuri.. Nakubal kazi Yako since day one💪💪🔥🔥💯💯

  2. Msaada jamani kama kuna mtu anaweza kunielekeza opshen za izi team sija elewa game ya Cardiff. Osasuna.willem 11. Selvette na duisburg

Leave A Reply


Exit mobile version